KAMANDA WA POLISI ATHIBITISHA:SHARO MILLIONEA AFARIKI DUNIA


  Kuna habari kuwa msanii HUSSEN MKETI aliyekuwa maarufu kwa jina la Sharo Millionea, msanii wa muziki na maarufu katika kuwepo kwake katika matangazo kwa style ya aina yake amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Tanga. 
 Kamanda wa Polisimkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao
R.I.P SHARO MILLIONEA 
 MSIKILIZE KAMANDA WA POLISI MKOA WA TANGA  AKIONGEA HAPA

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates