LIST NZIMA YA WASHINDI WA CHANNEL O MUSIC VIDEO AWARD D'BANJ ANGARA, AY PEKEE EAST AFRICA

LIST NZIMA YA WASHINDI WA CHANNEL O MUSIC VIDEO AWARD D'BANJ ANGARA, AY PEKEE EAST AFRICA


 Tuzo za Channel O mwaka 2012 zimetolewa jana huko Walter Sisulu Square mjini Kliptown, Soweto na kumshuhudia supastaa wa Nigeria D’Banj akiibuka na tuzo kubwa kuliko zote ya video bora ya mwaka na video bora ya msanii wa kiume kwa wimbo wake Oliver Twist.

Kwa hakika tuzo hizo zilitawaliwa zaidi na wasanii wa Nigeria na Afrika Kusini waliochukua vipengele vyote kasoro cha video bora ya Afrika Mashariki iliyoenda kwa AY na Sauti Sol pamoja na vipengele vingine viwili vilivyochukuliwa na Buffalo Souljah wa Zimbabwe na D-Black wa Ghana
 Hii ni list nzima ya washindi wa CHOMVA 2012
Most Gifted Video of the Year: D’Banj – Oliver Twist
Most Gifted Female Video – Zahara – Loliwe
Most Gifted Male Video – D’Banj
Most Gifted Hip Hop Video – Ice Prince – Superstar
Most Gifted Afro Pop Video – Brymo – Ara
Most Gifted Duo, Group or Featuring Video – P Square ft. Akon and May D – Chop My Money
Most Gifted Dance Video – DJ Cleo – Facebook
Most Gifted Kwaito Video – Ees and Mandoza – Ayoba
Most Gifted R&B Video – Flavour ft Tiwa Savage – Oyi
Most Gifted Newcomer Video – Davido – Dami Duro
Most Gifted African South Video: Cashtime Fam – Shut It Down (Stundee).
Most Gifted African West Video: D-Black ft Mo’Cheddah – Falling
Most Gifted African East Video – Ay ft Saut Sol – I Don’t Want to be Alone
Most Gifted Ragga – Buffalo Souljah ft Cabo Snoop – Styra Inonyengesa

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates