Saigon amchana Rick Ross na wasanii wakubwa wa Hip Hop kwa kuwaaharibu watoto!

Rapper mkongwe kwenye ulimwengu wa Hip Hop Saigon (wa marekani sio wa TZ) amejitokeza tena na kumchana Rick Ross na wasanii wengine wakubwa wanaofanya Hip Hop kwa kile anachodai wanaharibu maadili ya kizazi hiki hasa watoto ambao wanasikiliza sana kile wanachokiimba kwenye nyimbo zao. 
 Saigon ambae miezi kadhaa iliyopita aliwahi kumchana Rossay kivingine amerudi tena na kuongeza idadi ya anaowachana na sasa hii inaenda kwa wasanii wote wa Hip Hop wanaohusika na anachokisema. 
“Hii iko nyuma yangu mimi, unajua nini, kama hawatabadili ujumbe, kwa kweli, ntakuwa katika beef nzima na mpya, nani ambae ntampuch sasa hivi? Rick Ross.” Alianza kufunguka Sai, “nataka kumpunch kila mtu, man. Rick Ross, 2Chainz, kila mtu ambae anaefanya muziki unayowadhuru vibaya watoto, kwa sababu hizi kampuni zinamarket muziki wao kwa watoto, na wote manajua hili. Mimi nina watoto pia, man. 
Sijaribu kupambana na mtoto wangu mwenyewe kwa sababu amekuwa influenced na big booty. Nilifanya ‘106 & Park siku moja, na nilisikitika sana kuona hawa wasichana wadogo wakitema mashairi na mambo mengine yaliyokuwa yanawatoka mdomoni na walikuwa na umri wa mika 13 na 14, na walikuwa wanaongea haya yote! I was like, ‘God d*mn,yo, nani anaehusika katika haya yote?..sio kwamba namnyooshea kidole Rick Ross na 2 Chainz na watu wao, kwa sababu kila mtu anafanya hivi.” 
Alifunguka Saigon na kumaliza na msemo unaoweza kueleweka kwa haraka haraka kuwa ‘waweke watu wote wanaofanya hivyo na uwachane wote bila kuchagua’... ‘Put them all on a dart board and throw the dart’. 
Mwezi may Saigon aliwahi kutoa maneno kama haya na akawachana Rick Ross na Big Sean, kwa kufanya ngoma ambazo zinaharibu maadili ya jamii, na kusapoti uhalifu kama uuzaji wa madawa ya kulevya. Ngoja tuiweke kwa ‘kidhungu’ ili ifike kama ilivyotoka kinywani kwa Saigon. 
“You can put all this sh*t on your site because I don't give a f*ck. I don't give a f*ck because at this point, I've made up my mind. I made up my mind that I'm taking a whole different approach. ... Rick Ross and all these n*ggas rapping about drug dealing, all the sh*t that f*cks up the black community, they're not gonna be able to make no money. I'm gonna shut all their money down. 
Why ya'll supportin' a n*gga that promotes the destruction of our community? Why are you doin' that? Why would you let this n*gga thrive and we don't know where our next jobs are coming from? He's rapping about selling kilos of cocaine and selling drugs. This is what he's about, this whole lifestyle saying he's so rich and he eats shrimp every night, and ya'll support this sh*t? and ya'll broke and poor and your family's about to get kicked out. That's our hit son! That's his hit. Nobody knows the words to this song, all they know is "ass, ass, ass, ass, ass, ass, ass" [background noises]. We don't care about "ass, ass, ass, ass," but this is the society we livin' in right now. So it's like alright”.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates