T-Boz wa TLC asema Nick Minaj akafanye Porn sio kuwa jaji “How the hell is she gon’ tell me what I should be doing when her as* can’t even sing”

T-boz
Member wa TLC T-Boz amemvaa tena rapper wa Young Money Nicki Minaj ambae ni jaji wa mashindano ya kuimba yenye lengo la kuibua vipaji ‘American Idol’. T-Boys hakubaliani kabisa na kitendo cha rapper huyo wa kike kuwa jaji wa mashindano ya kuimba wakati yeye sio mwimbaji na kwa maoni yake kitu ambacho anaweza kufanya hata bila kuwa na kipaji ni Porn.
Katika interview kwenye ‘this is Max in London’ mwimbaji huyo wa kike wa kundi la TLC alifunguka kwa madaha, “kwa sababu tu unaonekana kwenye mzunguko wa TV, boning and sucking p*enises’, sio kipaji, honey labda kwenye soko la Porn, lakini sio hapa (kwenye muziki), tunaburudisha. Siheshimu nusu ya watu ambao nimewaona hivi karibuni. Ataniambiaje nini nachotakiwa kufanya wakati hawezi hata kuimba?
“Kwa nini yuko pale? Halafu...sasa wana rapper ambae hata haimbi na anajaji? So, hii inaonekana imeegemea kwenye umaarufu nahisi., namaanisha, kwa kile anachopata kila mmoja wao. Chukua mkwanja wako, honey. Nachosema ni kwamba sitaangalia show yenu tena.” Ndo maoni ya T-Boz kuhusu nafasi ya ujaji wa Nicki Minaj kwenye mashindano ya kuimba “American Idol”.
Hata hivyo baada ya maoni yake kutolewa kwenye media mbali mbali T-Boz aliamua kutumia account yake ya twitter kuweka kulezea zaidi kile alichosema. Hizi ni baadhi ya tweet zake:
“Im laughing at y’ll guess u told me huh lol My whole comment wasn’t about chick but some of the guest appearances & not Brittney at all” ilikuwa tweet yake ya November 8.
“& it’s not a diss these shows are based on popularity & bringing in the viewers & bringing their umbers up not based on picking talent lol.”
Nicki Minaj ni moja kati ya majaji wanne wa American Idol na yeye pekeendiye rapper na tangu achaguliwe kuungana na majaji wenzake ameshakwaruzana na Mariah Carey ambae ni jaji mwenzake kwenye shindano hilo. Minaj ameachia reality show yake ‘My truth’ikiwa na vipande vinavyoelezea uwepo wake kwenye shindano hilo kama jaji.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates