Home
»Unlabelled
» WALICHO SEMA MARAFIKI WA LULU OSCAR BAADA YA KIFO CHAKE
WALICHO SEMA MARAFIKI WA LULU OSCAR BAADA YA KIFO CHAKE
By
Unknown
•
12:37 PM
•
•
Unajua
Binadamu tunahitaji FURAHA siku Zoote za UHAI na Maisha yetu Hapa
Duniani, JapokuwaWakati Mwinginehatuwezi KUIEPUKA HUZUNI. Nakumbuka
LIFESTYLE ya pale Chuoni Royal College Alikuwa Mcheshi, Mzungumzaji,
Anayependa Watu, Aliyependa Kujichanganya na Watu wa Jinsi zote! Pole
zangu Kwa Wanafunzi woote Wa Cha Royal College of Tanzania (RCT), Ndugu Jamaa na Familia ya Lulu Oscar
We Will Miss U Ever! — with Iddy Harnaa Mkwama and 21 others.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment