VIDEO YA NICHEKECHE TOKA KWA ISMILE WA KICHEFCHEFU COMING SOON........

Nichekeche video  coming soon..........
Mkali toka zanzibar ismail mustafa a,k,a smile wa kichefchefu toka Vanilla classic anataraji kuachia video ya ngoma yake ya nichekeche Akiongea na chiwileinc toka pande za DSM amesema kua   "video iko tayari kazi imefanywa na MAC MEDIA  hapa naongea na wewe video mnayo mkononi ila kuna mambo naweka sawa kabla ya kuichia hewani wadau wakae tayari kupokea video ambayo kiukweli sikutegemea kama ingekua ivi video ni kali sana mi nimefanya yngu directr pia amefanya yake na video modls  pia wamefanya"

Alimaliza Ismail wa kichefchefu

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates