MSANII JAGUAR TOKA KENYA ANUNUA NDEGE BINAFSI





Jaguar anaefanya vizuri kwenye muziki wake huko nchini Kenya na Africa kwa ujumla inasemekana he had purchased ndege yake hiyo binafsi siku za nyuma kipindi cha kampeni za uchaguzi nchini Kenya na ameshaitumia mara kadhaa ... Jaguar ambae hivi karibuni ameachia single yake mpya inayojulikana kama KIPEPEO inasemekana amenunua ndege hiyo ambayo pia ameshaipa jina lake, yaani AIR JAGUAR ...
Jumamosi moja katika uwanja wa ndege wa Wilson Airstrip uliopo nchini Kenya, Jaguar anasemekana kuitumia ndege hiyo inayopandisha abiria sita kwenda kustarehe huko Great Lake Resort, Niavasha akiwa na baadhi ya wasanii wengine …

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates