OFFER TOKA SIX RECORDS ZANZIBAR KWA WANA HIP HOP CHIPUKIZI


t

Baada ya kumdondosha producer mpya anaekwenda kwa jina la M-Touch  toka pande za kenya Studio ya six Music chini ya C.O Side tothelee imetoa offer mbili kwa wasanii wa wachanga na wale wanao fanya vizuri kwenye mziki wa hip hop zanzibar akiongea na chiwileinc kupitia show ya One step in hip hop ndani ya 90.9 chuchu fm akiwa na producer wake M-Touch  amesema kua kwa wasanii wa kubwa ametoa offer ya kurecord ngoma kwa punguzo la 50% uku wasanii wa changa wakipata Offer ya kurecords bure baada ya kukizi vigezo vya Uongozi wa studio

So kama unakipaji nafasi ni hii kwa maelezo zaidi piga namba
0712-084660 - chiwile jr
0714- 249514 - tothelee

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates