WEUSI KUMTOA MAMA YEYOO NJE YA BOX MAISHANI

Jumapili hii ni siku muhimu sana kwa Weusi na mashabiki, kwa sababu ndio siku watakayomtoa Mama Yeyoo nje ya box kila mtu amuone, noooumer sssanaaaa, lakini pia haitakuwa kama ilivyozoeleka kwa wengi kuchana juu wimbo au juu ya beat chorus, ila siku hiyo itakuwa ni full live band ambayo itakuwepo pale kwa ajili ya kupiga nyimbo zao za hiphop. Ben Pol, Barnaba, Petter msechu  wote ndani..

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates