CHEKI PICHA KINACHOENDELEA TAMASHA LA MATUMAINI: MBWIGA WA CLAUDS FM AKATA MAUNO NA MSONDO


Mbwiga Mbwiguke wa Clouds FM akikata mauno wakati Bendi ya Msondo Ngoma ikitoa burudani katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013. Mbwiga alikuwa kivutio kwa wananchi waliokuwa katika tamasha…
 
Bendi ya Msondo Ngoma ikiwapa burudani wananchi ndani ya Uwanja wa Taifa katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2013.
Uwanja wa Taifa kabla ya burudani kuanza.
Wananchi wakimiminika ndani ya Uwanja wa Taifa.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates