Home
»Unlabelled
» familia ya former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe
familia ya former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe
By
Unknown
•
1:25 PM
•
•
Klyinn yukwapi? tunasikia kaolewa ila hatuna uhakika, muda
ulipopita…
. tunasikia kapata Watoto mapacha? …………….hayo ni baadhi ya
maswali ya
Watanzania waliokua wanazipenda na kuzifatilia kazi za
mwimbaji ambae ni former Miss Tanzania Jacqueline Ntuyabaliwe.
Sasa rasmi Klyn kwenye hii post
akiwa sasa
hivi ni mama wa watoto wawili mapacha kama unavyowaona hapa chini na
Baba yao mzazi.

Klyinn na mumewe Mr. Reginald Mengi na watoto wao mapacha.
Hapa chini ni baadhi ya picha za Klyinn
na watoto wake pamoja na
kazi anayofanya kwa sasa.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment