CHECK MOVIE YA AFTER DEATH TRAILER KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MAREHEM KANUMBA


Siku ya Kanumba day pale Leaders Club ilizinduliwa movie ya “After Death” kwa ajili ya kumbukumbu ya marehemu Kanumba ambapo ndani yake kuna 
 
Jackline Wolper, Jennifer na Patrick watoto walioibuliwa na Kanumba kwenye movie na wasanii wengine wengi. Wiki hii ndio imetoka na inapatikana kwenye maduka mbalimbali, unaweza kuitumia hii nafasi kutazama hii trailer ili upate nguvu zaidi ya kwenda kuinunua…
 

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates