CHECK PICTURES OMMY DIMPOZ ALIVYOPOKELEWA BURUNDI

ommy


Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi,  njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpoz

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates