TATIZO LA WASANII WA ZANZIBAR KUSHINDWA KUJISAJILI BARAZA LA SANAA

maelezo ya kujiunga baraza la sanaa
kumekua na tatizo kubwa kwa wasanii wa zanzibar kushindwa kujisajili baraza la sanaa ili watambulike kama wasanii halali jana nilipata mda wa kwenda baraza la sanaa zanzibar na kuongea na baadhi ya viongozi husika ambao walinipa ushirikiano wa kutosha nakunielekeza baadhi ya mambo kama faida ya kijisajili na


mkakati wa serikali kuhusu sheria mpya ya usajiri na Haki miliki nikiwa kama mdau ambae naguswa na swala ili ilichukua hatu ya kuwaita baadhi wa wasanii na kujaribu kuongea nao kupitia kipindi cha  One step in hio hop (darasa) kinacho rushwa ndani ya 90.9 chuchu fm radio zanzibar kwa walio pata nafasi ya kusikiliza nadhani wamelewa nini tulikiongea ila wake ambao hamkupata nafasi ya kusikiliza Live kuna nakala ndefu inakuja ili tujue nini tatizo la wasnii kushindwa kwenda kujisajili. kwenye baraza husika wasanii wamekua wakitupia lawama mamlaka husika na mamlaka wanasema hawana tatizo na wasaniiii......

By Issa Chiwile Jr

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates