Latest Updates

Showing posts with label Story. Show all posts
Showing posts with label Story. Show all posts

STORY - Dalili za mume anayetembea kimapenzi na msichana wa kazi za ndani

3:40 AM



Dalili za mume anayetembea kimapenzi
na msichana wa kazi za ndani
‘hausigeli’. DALILI YA KWANZA Ishara ya kwanza ya mwanaume ambaye tayari yupo ndani ya uhusiano

SOMO LA LEO - WANAWAKE, HEBU JIFUNZENI KUPITIA HII HAPA

1:51 AM


MWANAMKE MWEREVU NA MWENYE MAPENZI KAMA HAYA KAMWE HAWEZI KUSALITIWA.

1.Unaamka yeye kashaamka na kusema
"baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)

STORY - TAFAKARI

1:37 AM


                                                    
                                                 KUNA WIZI ULITOKEA BENKI
 Jambazi  "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu", wote wakalala chini

HII INAITWA DHANA YAUSHAWISHI - kubadilisha njia ya kawaida ya kufikiria

•••••••••••••••••••••• Kuna dada kwa woga akawaamelala chini kimitego,Jambazi akamwambia,

WANAWAKE 16 WAPANDISHWA MAHAKAMANI KWA KOSA LA KUCHEZA WAKIWA UCHI

2:29 AM
WANAWAKE 16, walishtakiwa Jumatatu katika mahakama ya Kibera kwa kupatikana wakisakata densi wakiwa uchi katika kilabu kimoja cha usiku jijini Nairobi mwishoni mwa wiki.

Somo la Oxford: Wanawake Wenye Makalio Makubwa Wana Akili Zaidi [UCHUNGUZI]

10:53 PM

Kwa mujibu wa uchunguzi wa somo moja la Chuo cha Oxford University, ambao hivi karibuni umekuwa ukizungumziwa kwenye habari, kwamba "wanawake wenye makalio makubwa huwa wana akili."

TUKIO JINGINE LA KUSIKITISHA JIJINI DAR: MAITI YA MWANAMKE ALIYEUWAWA NA MUMEWE YAKUTWA STOO...! SOMA HAPA

1:36 AM


Marehemu
Ni kifo cha kusikitisha cha mwanamke huyo pichani Hamida Urembo na muhusika wa mauwaji hayo ni mumewe wa ndoa waliyeishi kwa miaka mitatu.

UKWELI KUHUSU MADEMU WENYE MWANYA AU KIDOTI

12:16 PM

 Inasemekana Wanawake wenye Mwanya au ndevu ama ki alama cheusi chini ya pua maarufu kama Kidoti huwa  wanawavutia sana Wanaume Smart kutokana na imani kwamba wanawake hao huwa wanabahati katika maisha kwa asilimia kubwa huwa wana maisha mazuri na pia mwonekaono wao huwavutia wanaume walio wengi sana na mimi nikiwa mmoja wapo:wewe wavutiwa?                                                      

TATIZO LA WASANII WA ZANZIBAR KUSHINDWA KUJISAJILI BARAZA LA SANAA

12:40 AM
maelezo ya kujiunga baraza la sanaa
kumekua na tatizo kubwa kwa wasanii wa zanzibar kushindwa kujisajili baraza la sanaa ili watambulike kama wasanii halali jana nilipata mda wa kwenda baraza la sanaa zanzibar na kuongea na baadhi ya viongozi husika ambao walinipa ushirikiano wa kutosha nakunielekeza baadhi ya mambo kama faida ya kijisajili na

MADHARA YA MWANAMKE KUCHUA

12:25 AM

Kujichua au kujichezea(kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo ila wengi wao huwa hawako huru kulizungumzia au kukili kuwa wakizidiwa huwa wanajisaidia……

MAZOEZI MATATU YA KUZUIA MATITI YA MWANAMKE YASILALE NA KUWA MALAPA

3:13 AM

Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda  matiti kwa kuyaita “malapa”….

Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning’inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi…1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada  mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Zoezi….2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)….fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua.

Zoezi…3

Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule).

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates