Amber Rose Na Tatto Nyingine Usoni.

Wiki Iliyopita Amber alionyesha picha iliyoshangaza wengi baada ya kuona Tatto ya 

msalaba kwenye paji lake la uso, Msalaba huo unaonekana ukiwa umechorwa tofauti, Juni ni Chini na chini pamekuwa juu. Mashabiki wa Amber walikuwa mstari wa mbele kwenye kuliza maswali kuhusu mchoro huo bila kupata majibu wala maelezo kutoka kwa Amber ambaye ni mama mtoto wa Rapper Wiz Khalifa. 
Mpaka sasa tafsiri ya wengi imekuwa inahusisha mchoro huo na imani za kishetani.


Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates