HII NDIO GARI PEKEE INAYOTEMBEA NA KUPAA DUNIANI, ICHEKI HAPA


Kampuni ya Terrafugia kwa mara ya kwanza dunia imetengeneza gari yenye uwezo wa kupaa. Gari hiyo ina mabawa  ambayo itaisaidai wakati wa kupaa na kutua pia ina betri yenye uwezo wa kuchajiwa.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates