Masogange aachiwa huru south africa


Mahakama ya Kempton ya jijini Johannesburg,nchini Afrika Kusini imemwachia huru mrembo huyo baada ya kulipa faini ya R30,000 ambazo ni sawa na shilingi milioni 4.8 za kibongo kwa kosa la kubeba kemikali zinazotumika kutengeneza
dawa za kulevya.
Wameachiwa huru baada ya
kuonekana kuwa hawakubeba dawa za kulevya kama ilivyoripotiwa awali,bali kemikali aina ya ephedrine.so masogange na mdogo wake melisa wamerudi uraiani

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates