Diss Nyingine Ya 50 Cent Kutoka Kwa Rapper Game.

 
Diss nyingine kutoka kwa rapper Game kwa 50 Cent na this time inahusu kurudi G Unit. Rapper Game amelianzisha tena na hasimu mwenzake 50 Cent kwa kumtaja yeye na kundi lake la G Unit kwenye wimbo wa 'Hollywood' Ambao upo kwenye mixtape yake mpya ya "OKE". Joint hii Imetoka October 11 na kashirikishwa rapper Scarface.Kwenye wimbo Game anasema “Hub City thugs wit me, buck 50,”  “Reunite with G-Unit, bitch fuck 50”

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates