Rapper Cam'ron Asema Jay Z Anamchukia Na Nyimbo Zao Hazichezwi Kwenye Club Zake.Fuatilia Hapa

Rapper Cam'ron wa kundi la Dipset amesema hajawahi kufikiria mashairi ya Jay Z kwenye wimbo wa  "Pound Cake" yata hatarisha mahusiano yake na Jay Z ila ana amini kuwa kazi aliyopewa ya makamu wa rais kwenye kampuni ya Dame Dash ndio imefanya Jay Z kutoelewana nae. 

Kwenye “Pound Cake” Jay z anasema “I've done made more millionaires than the lotto did / Dame made millions, Biggs made millions / Ye made millions, Just made millions / Lyor made millions, Cam made millions.”
Rapper Cam’ron amefunguka haya kwenye interview wakati anazungumzia project yake mpya ya Ghetto Heaven Vol 1 nakusema kuwa mpaka sasa muziki wa kundi la Dipset umepigwa marufuku kwenye club zote za Jay Z na rapper huyo anamchukia sana Cam'rom bila sababu.

Fahamu Kuwa Jay z na Cam wanatoke mitaa ya New York wote wana heshima kubwa mitaani 'Street Credibility'

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates