Kuweka Picha na Video Kwenye Facebook Kunaweza Kukufikisha Jela - United Arab Emirates

Kuweka picha au video za mtu kwenye mitandao bila ruhusa ya yake ni kosa unaloweza kutozwa faini au kwenda jela kwa miezi sita, Wizara ya Mambo ya Ndani United Arab Emirates imeonya.
Hata kuweka picha na video zinazonyesha matukio ya ajali pia nayo litahesabika kama  ni kosa, Wizara imesema, hii ni kwa mujibu wa gazeti la Taifa la Lugha ya Kiarabu liitwalo Al Ittihad.

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates