Nimekolea kwa Aliyekuwa Demu wa Rafiki Yangu. Je Nifanyeje?

Nimejikuta nipo kwenye mapenzi na aliyekuwa demu wa rafiki yangu. Rafiki yangu na huyu demu walikuwa kwenye mahusiano katika kipindi cha mwaka mmoja ila wakaja achana.


Kwa sasa huyu rafiki yangu ana demu mwengine na haonekani kuwa na nia ya kutaka kumrudia huyu aliyekuwa wake hapo awali ambaye kwa sasa nimejikuta nikikolea kwake.

Japokuwa ni mkubwa kwangu kwa zaidi ya miezi sita ila ukweli ni kwamba nampenda.

Naomba ushauri nini nifanye....?

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates