Picha ya Kwanza ya Peter Okoye Akimzungumzia Mke Wake

Lola Omotayo
Hivi karibuni mmoja kati ya wanamuziki wanaounda kundi la P Square Peter Okoye alifunga ndoa na mwanadada Lola, na kupitia ukurasa wake wa Instagram jamaa huyo aliamua kuweka picha nzuri ya mke wake.

Kwenye picha hiyo Peter aliweka maneno haya 'Isn't she luvly and beautiful?'


Peter Okoye na mwanamke huyo mpaka sasa wana watoto wawili mara baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa kipindi kirefu hatimaye wamekuja kufunga ndoa ya jadi mnamo Novemba 17 ndani ya jiji la Lagos.

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates