WASTARA ATAHADHARISHWA KUHUSU MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE , YADAIWA MPENZI WAKE MPYA AMEKUBUHU KWA TABIA HIYO HADI WANAWAKE WANAMKIMBIA, YASEMEKANA ALIFUNDISHWA NA ANT LULU WALIPOKUWA WAPENZIMsanii nyota kwenye kiwanda cha Bongo muvi Wastara amepewa tahadhari kubwa na mshabiki wake kuhusu mpenzi wake mpya ambae ni prodyuza wa filamu aliyefahamika kwa jina la Bond Bin Sinnon kuwa amekuwa akipenda sana mapenzi kinyume na maumbile hakuna mfano.
Habari za uhakika zilitua ndani ya ofisi  zilizopo Mwananyamala Komakoma zilisema Bond ambae aliwahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi kwa zaidi ya Miaka 4 na nusu na Mtangazaji Lulu Semagongo ambae kipindi flani aliwahi kukiri kwenye vyombo vya habari hasa magazeti pendwa kuwa yeye mzuka wake ni kufanya mapenzi na maumbile  tangu akiwa mdogo.
Hivyo basi hali imetiliwa shaka na mashabiki wa Wastara kuwa kwa vile wawili hao wameonekana kuwa na mahusiano ya kimapenzi basi ni dhahiri kuwa Wastara wame makini la sivyo kijana huyo anaweza kuendeleza tabia yake hiyo aliyokuwa anaifanya kwa Lulu.http://api.ning.com/files/h7-hnikYBT33j7C*7uhKi13cmOiw0lRmltHKx6QUEUEYzNR3UAupIWByuIVDlFAkjwpVFBqKFE9fHS19zN*1RH2Pzmg6bPVQ/AUNTLULU1.JPG
Chanzo chetu kiliendelea kuilza Xdeejayz kuwa Bond ambae tangu aachane na Lulu hakuwahi kuwa na mpenzi hata siku moja" Huyo Bond anaogopwa sana na mabint kwa sababu ya kauri ya Ant Lulu alipotangaza kuwa yeye mzuka wake ni  kifanya mapenzi kinyume na maumbile hivyo hakuna msichana yeyote anaemkubari kwa hofi hiyo hivyo hata Wastara tunashangaa wamepatana kiasi hicho" Kilisema chanzo hicho.
Mahusiano ya Bond na Wastara yalianza kwa siri sana lakini hivi sasa kila kitu wazi hadi ndugu wa Wastara wanamjua bond kama shemeji yao, Mapaparazi wa Xdeejayz walifunga safari hadi Tabata jirani kabisa na anapoishia Wastara ili kupata umbea ambapo majirani hao walifunguka" Aaah na nyie waandishi mko wapi siku zote bwana? Wastara na Bond ni mke na mume mbona wala hakuna kificho tena Wastara sasa amerejesha furaha ya maisha kwa malavidavi ya Bond ambapo wanaishi pamoja kupika na kupakua" Alisema jirani huyo aliyejitambulisha kwa jina la Amina
 Aidha mwanzo wa mahusiano ya wawili hayo hayana tofauti na yale ya Pennie na Diamond ambao walianza kufanyia interview kwenye kipindi na baadae wakageuza na kuwa wapenzi kabisa hivyo ndivyo ilivyotokea kwa Wastara na 
Bond.
 Wastara na Bond walianza kwa kufanyiana Interview ambapo Bond pia ndiye muongozajii wa kipindi cha Action n Cut kinachorushwa hewani kupitia Channel Ten, lakini baadae waliamua kufanyiana interview kubwa ili maandiko yatime.

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates