AUDIO - JOKETI KUTOKA NA NGOMA MPYA SOON..! PRODUCERR NI ALONEYM


Mwanadada Joketi mwengelo kidoti ambae anafany poa kupitia kaka na dada akiwa na producer  Luchi anataraji kuachia ngoma nyingine ambayo amesema itakuja kushtua akiongea na chiwileinc.com amesema
anataka kutoa Suprise kwa fans wake ambao wakekua wakimpa support kupitia kazi nyingine ambazo amekua akizifanya "Nimeamua kuja na kazi nyingine siwez kusema na ya haina gani ila ni kali kali sana mtakua kuamani mnacho kisema nimeamua kufanaya na Aloneym sasa ni producer ambae naelewa uwezo wake naye ajaniangusha amefanya kile mnacho nilicho kihitaji' alimaliza Joketi "

MSIKILIZE JOKETI HAPA 

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates