AUDIO - ALONEYM AONGELEA UKIMYA WA RAP KWANZA NATION PAMOJA NA UWEPO WA MUSSA CHOMBO NDANI YA RKN

producer toka Kwanza music Aloneym amelezea ukimya kwa kundi lake la RAP KWANZA NATION na kusema kua imetokana na kuongeza member wapya wawili n kufanya kundi kua na watu 7 na soon watachia ngoma kali wakiwa pamoja "unajua baada ya kufika uku kuna artist waliomba kuingia kwenye kundi tukaona cha tuwe nao tupate nafasi ya kujipanga vizuri zaidi ila kila kitu kipo sawa na soon utasikia kazi zetu
alifungua Aloneym  msikilize hapo  HAPA CHINI 

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates