MAKALA

Me & Dj kiss 1
Pia wameshatumikia
Hapa


Watu kama

Dj badvuvu
DJ bizo
Dj donchill
Dj jujuman
Bra A
Ras bizo
Passion flaver
Mke Manyanga
Hans vipaji
Mkali lupa
Nobo g
More shiner habibu
Nawengine nisiowataja

Radio ni
106.0 Mhz
Mwambao fm sauti ya tanga

Kipindi
Tanga flaver

Hasira nikuufikisha mbali
Muziki wa tanga na wasanii
Wakitanga waweze kupasua
Mipaka ndani na nje ya nchi

Mafanikio yake mpaka sasa
Tumepata wasanii wanaotuwakilisha fresh katika
Game ya music wa bongo na
Kimataifa pia

Tunajivunia wakali kama

Q chills
Kassim mganga
Top c
Matonya
C pwa
Suma Lee
Mwana fa
Roma mkatoliki
Bwana misosi
Ally nipeshe
Wagosi wa kaya
Dar lidea
Omega boy
Sele Wamichano
Dula Wamichano
Man sash
Jojo
Breder khan
Baguje
Wiza man
Shizan
Sele bunto
Baba mlezi
C.O
D Payne
Mako squats
TNG square
Kiso square
G man
Young dachi
Mgosi kibaja
Mkongwe ruw
D doctor
Kidani
Divo nyau
Midi black
Master voice
Chabu

Nawngine wengi
Ambao hawajisomeka
Hapo juu ila niwakali na
Wanafanya vizuri kunako
Hii game ya music wakizazi kipya yani
Tanga flavel & bongo flaver
Kwaujumla

Bado harakati zinaendele na
Hatuja rizika na hapa tulipofikia
Tunahasira yakuendelea kuzalisha vipaji vipya na kuendeleza vilivyopo

Mimi kama
Saidi shabani

Nawana arakati wenzangu
Wapendao music na maendeo
Ya wasanini wa tanga

Tunakupa hii

Kama unafanya music
Mzuri na unajiamini uko vizuri

Fanya hivi

Tuma kazi yako
Jina lako halisi
Jina laki sanii
Jina la nyimbo
Jina la studio
Jina la produce

Na anuani yako
Na maali uliko

Tutasaidiana
Kuufikisha music wako
Walipo mashabiki wako

Iwe tanga
Tanzania nzima
Na duniani kote kwaujumla

Tumia njia hizi kutufikishia kazi yako

Via

Thefresh2013@Gmail.com

Whatsapp +255714091786

Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates