PICHA - SPIDER KUJA NA NYIMBO MPYA BAADA YA MFUNGO WA RAMADHANI

 Mkali wa miduara na zouk Spider a.k.a baa shani anataraji kuachia ngoma baada ya mfungo wa mwezi mtukufu akionge na chiwileinc Spider ambae pia ni mtangazaji wa chuchu fm radio amsema ngoma iko tayari
'ngoma ipo tayari baada ya mfungo mtaichia rasmi sasaiv nimewapa wadau wangu waisikilize than wanambie kama inahitaji marekebisho ila walio wengi wamesema iko haitaji kufanyiwa chochote nami ' alimaliza spider ambae ni member  pekee alie baki akiwakilisha kundi la mambo poa ambapo ndani yake alikuwepo marehem steve 2k na John mjema bila kutaja studio aliyo fanyia hiyo nyimbo mpya mbayo hii  ni ngoma yake ya pili kwa mwaka huu ukiacha ile ambayo ilitoka mwanzoni mwa mwaka huu nakufanya fresh kupitia media tofauti tanzania  inayo kwenda kwa jina la maya ukiwa ni mkono alio fanya kwa akili the brain


Share this:

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates