UNATAKA KUJUA KINACHO ENDELEA KATI YA JOBFIRE NA BARNABA..?

Mkali jobfire a.k.a sauti za matukio yuko mbioni kufanya single na barnaba boy classic akiongea na chiwile inc JOBFIRE amesema iyo itakua ni hatua kubwa kwake coz alikua na ndoto ya kufanya kazi na barnaba kwa iyo ndoto zake zinaelekea kutimia amefunguka zaidi akisema ngoma iyo amepanga kuifanya ndani ya BURN RECZ chini ya mkali chidy claver

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates