Home »Unlabelled » UPEPO WA RECHO KUZINDULIWA NEW MAISHA CLUB
UPEPO WA RECHO KUZINDULIWA NEW MAISHA CLUB
By Unknown • 12:51 PM • • Comments : 0
Mwanadada anae kimbiza hapa town kwa songi lake kali la upepo atapiga show kali jumaapili ya tarehe 27 May 2012 ndani ya new maisha club kwa kingilio cha T.shs. 7000 akisindizwa na wakali kibao kama mataluma. becha Shilole Makomando young Dee young dar es salaam na wengine kibao
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment