
Dj na Mtangazaji maarufu Tanzania Fatma a.k.a Dj Fetty weekend hii atakuwa ndani ya mjengo wa BBA South Africa kwa ajili ya kwenda ku Dj huku akiwa ni Dj wa kwanza kupewa heshima ya kuingia mjengoni humo na kusugua santuli.
www.chiwileinc.blogspot.com
Home »Unlabelled » DJ FETTY NDANI YA BIG BROTHER JUMAMOSI & JUMAPILI
By Unknown • 4:43 AM • • Comments : 0
Post a Comment