Wema akiwa na Zamaradi kutoka Clouds TV
Wema, Snura & Zamaradi
Abou & Zamaradi
Mtoto mie nikiona kaunta tu Basssssssssiiiiiiii
Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote ya nyuma ya Wema.
Gari yake ya kwanza ilikuwa hii
Gari ya pili na ndio hii na ndio anayoipenda
Hapa ndipo anapoishi Miss Wema Sepetu maeneo ya Kijitonyama....wakati tukiendelea na kupiga picha mtangazaji kutoka Clouds TV Zamaradi alikuja kufanya interview ya Take 1 kwa hiyo kaa tayari itakujia siku si nyingi ndani ya Clouds TV
Post a Comment