Kwa steji ni Sultani KING kutoka Zanzibar,
huu ulikuwa usiku wa ZNZ na Dar ambapo walishushwa wasanii wakubwa
nikimaanisha kiumri yaani ma bibi zetu mmoja kutoka Zanzibar
namzungumzia Bibi Kidude na kutoka Dar alikuwa Bibi Cheka,
walisindikizwa na wasanii wadogo na show ilikuwa hot...endelea kutizama
picha
Kwa steji ni Mabeste
kwa steji Bi Kidude akiingia tayari kwa show
Bibi Cheka kwa steji na Mh Temba
Makomandoo kwa steji
Cyrill na Wakacha kwa steji
Nyandu tozi kwa steji
Young D
Post a Comment