Picha Ya Mtoto Wa Kim Na Kanye West 'North West' Aliyotoa Mama Yake Ndio Hii.

Kim Na Kanye West Utotoni
Baada ya vyombo vya habari za burudani kusema kuwa familia ya Kanye West inaficha na kuzuia picha za mtoto wao North West, Hivi karibuni familia hio imetoa picha moja ya Baby North West kwenye twitter. Kim alitoa picha hii kupitia account yake ya twitter

Huyu Ndio Baby North West



Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates