Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Ethiopia mbelgiji Tom
Saintfiet ana asilimia zaidi ya 90 ya kuwa kocha mpya wa Yanga.
Kocha huyo pia alikuwa ameomba kuifundisha timu ya taifa ya Kenya,
lakini huenda akaja Yanga kwakuwa amepewa dau kubwa zaidi.
“He applied for the Kenya National Team job, but it would
seem Yanga have offered him big bucks,” aliandika kocha mwenye leseni ya level B
kutoka UEFA, Tom Legg.
Tom Saintfiet aliyezaliwa tarehe 29 March 1973 alianza kuwa
kocha akiwa na miaka 24 na kumfanya kuwa manager mwenye umri mdogo zaidi kwenye
soka la Ubelgiji.
Kiongozi wa usajili wa Yanga, Seif Ahmed alithibitisha kuwa
kocha toka Ubelgiji, Tom Saintfiet ni miongoni mwa wawili wenye nafasi kubwa
kutua Jangwani.
Timu alizozifundisha
1997-2001 - Lower
Belgian Divisions
2000 - F.C.
Satelitte Abidjan
2002-2003 - B71
Sandur
2002-2003 - Stormvogels Telstar
2003-2004 - Al-Gharafa
Sports Club
2004 - Qatar U-17
2005-2006 - BV
Cloppenburg
2006-2007 - FC
Emmen (Technical Director)
2008 - RoPS
2008-2010 - Namibia
2010 - Zimbabwe
2010-2011 - Shabab
Al-Ordon
2011 - Ethiopia
Post a Comment