Stella Mwangi (STL) |
Hii ni video
inayoonyesha matukio mbalimbali wakati wa utengenezwaji wa video ya
msanii Stella mwangi kutoka Kenya ya wimbo wake mpya wa Stella x3 ambayo
official video yake ilitoka siku chache zilizopita. Video ilifanywa
katika mitaa ya jiji la Nairobi.
Post a Comment