Mariah Carey, Ryan Seacrest, Randy Jackson na Nicki Minaji |
Baada ya rumors kuzagaa kuwa Nick Minaj ataliongezea nguvu jopo la majaji
wa American Pop Idol season 12, sasa imethibitishwa rasmi kuwa the pink Friday
hit maker amesaini deal na ‘The Fox Show’ na hii ni sehemu ya jitihada ya The
Fox Show kuziba gap la Jennefer Lopez na Steven Tailor waliojitoa baada ya
American Idol season 11.
Mtu
mmoja aliyekaribu sana na music industry amewaambia waandishi wa habari
kuwa, The
hip hop queen toka Young money amepewa mkataba mnono wa $12 million, na
Mariah Carey yeye anapewa $17 kwa kazi hiyo hiyo, hapa ni makubaliano
ya kila mmoja na boss wao wa The fox Show.
Watu wengi sasa wanaonekana kuvutiwa na
ujio huu wa the Young Money rapper
kwenye American Pop Idol ambayo
iliwapotezea matumaini mashabiki wengi baada ya Jennifer Lopez na Steven Tailor
kujiondoa baada ya season 11.
Mbali na ladha ya hip hop iliyoongezwa na Nick
Minaj, super star Keith Urban pia ameongeza ladha ya muziki wa country kwenye
mashindano hayo ambayo yanaanza soon na audition inaaanza New York City,
na itafanyika kwa muda wa siku mbili ili kuibua vipaji vipya.
Sasa Panel ya majaji litakua na Nick Minaj,
Mariah Carey, Keith Urban na ," Randy Jackson.
Nick Minaj |
Keith Urban |
Mariah Carey |
Randy Jackson |
Nick Minaj ameonekana
kufurahia sana
deal hili jipya kwa tweet yake inayosomeka:
“The new "Idol" crew is
wasting no time. Nicki will start by helping to hand-pick talent in her
hometown. "New York
auditions today & tomorrow! See ya there barbz!!!!!!!!!"
"That's crazy because I heard a lot of the rumors and stuff like that, but for that to be reality that's insane, man," the Taylor Gang captain said. "I don't think anybody could ever imagine or see that going that way. Not in any negative purpose, but it's like, 'Wow.' "
Post a Comment