By
Unknown
•
11:03 AM
•
•
ISLAND PROMOTION TANZANIA inawaletea MISS. UTALII DODOMA 2012,wanatakiwa mabinti wa miaka 18-25,Fomu zinapatikana:
G&G Internet Cafe muone Boss Ngasa
UDOM muone Angela Kessy
CBE Dodoma muone Mr. Kanji
CHUO CHA MIPANGO muone Vaileth Mwolongo
DIVA'S COLLECTION muone Mr. au Mrs. Thadei
CAFE' LA TINO muone Mr. Noman Khaleed
SALAMA SALOON muone Salama au Zena
HAPPY FASHION muone Mr. au Mrs. Matei
TWENTY ELEVEN SALOON muone Rehema au Winnie
DISCOUNT SHOP(UDOM) muone HEMED
ZAHIR HOTEL muone Batul
ASAH HAIR SALOON karibu na TRA muone Naomi
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 29/09/2012 saa kumi kamili au
kwa maelezo zaidi wasiliana na MKURUGENZI WA MISS UTALII KANDA YA DODOMA
MR. NYANZA HASSAN kwa number 0715 427555.
MISS. UTALII DODOMA 2012 tushirikiane kukuza utalii wa dodoma pamoja na vivutio vyake vya asili.
SIMILAR ARTICLES
Post a Comment