Msanii kutoka Nigeria anaye simamiwa na Kanye West kupitia Good Music
D'Banj amewahi kusema kuwa anampango wa kuanza kutoa vipaji vipya nchini
Nigeria na akipata msanii anaye mkubali atamsaidia.
Well People hichi kichwa cha kwanza kupewa msaada na msanii huyu wa
kimataifa D'Banj atamsimamia msanii Tonto Dike na muziki wake huku
akihakikisha anakuwa star mkubwa wa muziki nchini Nigeria na nje. Haya D
Tunasubiri.
Post a Comment