Marafiki wa rapper wa kike nchini, Witness kupitia Facebook
husasani wale wa kiume, wamepata somo la bure la jinsi la kuongeza nguvu za
kiume.
Hivi ndivyo alivyoandika:
Tsup my pipo, leo ninapenda kutumia facebook vizuri kwa
kuzungumzia kazi ya madini ya zinc mwilini na yana patikana katika vyakula vya
aina gani na yanaweza kuwa destroyed madini ya zinc yanapatikana haswa
kwnye,cereals,nyama aina ya offal,kaa,pweza,ngisi,maharagwe,yeast,uyoga,mbegu
za maboga alizeti pamoja na karanga korosho haswa brazilian nuts ina saidia sna
kutibu vidonda naturally ndo maana watu wnye madini ya kutosha ya zinc mwililni
huwa wanapona haraka kuliko wengine kwa kuwa miiili yetu iliumbwa kujiponya
yenyewe, endapo ukaipa lishe bora vitamins na minerals za kutosha, pia husaidia
kwenye mental alertness,ngozi kufunctioni zuri hata vichunusi meno na pia
husaidia watu wenye matatizo ya manii kama ni ndogo na kushindwa kuzalisha
mbegu za kutosha, huongeza uwezo na hamu ya kuchuja nafaka kwa wanaume na
wanawake na kuongeza ufanisi wa afya ya viungo vya uzazi na endapo madini haya
yakiongezwa na vitamins za nyingine yanaweza kutumika kwa kuondolea sumu
mwilini na kusaidia mfumo wa chakula kufunction vizuri.
Post a Comment