Wengi walitoa maoni mbalimbali baada ya
show ya Rick Ross msanii ambae wengi hawakuamini kama kweli angeshuka bongo
land kutoa burudani kwa watanzania, lakini kwa nguvu kubwa Clouds Media Group
walifanikisha, na hapa kwa kweli wanastahili pongezi sana kwa kuthubutu kumleta
msanii aliye kwenye pick ya ulimwengu wa muziki kwa sasa (they made it).
Lakini baada ya show iliyopigwa katika
viwanja vya Leaders wengi walikuwa na maoni tofauti tofauti, wapo waliosifia na
walioponda baadhi ya vipengele.
Post a Comment