Home » NACTE » NEWS- NACTE YATAKA WANAFUNZI KUPIGA KURA WAKIWA NYUMBANI
NEWS- NACTE YATAKA WANAFUNZI KUPIGA KURA WAKIWA NYUMBANI
Baraza la linalosimamia masomo katika vyuoo vya ufundi nchini Tanzania,
National Council for Technical Education (NACTE) limeagiza kufungwa kwa
vyuoo vyote nchini humo ili kuwapa wanafunzi nafasi ya kupiga kura
katika uchaguzi mkuu utakaofanywa Oktoba 25. Adolf Rutayuga, katibu mkuu
katika baraza hilo amewataka wahadhiri katika vyuoo hivyo kuhakikisha
kwamba hakuna mwanafunzi atakayenyimwa nafasi ya kupiga kura
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment