USIKU MKALI NDANI YA GYMKHANA ZANZIBAR

TAFF PROMOTION tunawaletea SHOW KALI katika UKUMBI wa GYMKHANA CLUB(KWA KIMTI),ZANZIBAR JUMAMOSI ya TAREHE 13/10/2012 kuanzia SAA MBILI USIKU tutawashusha kwenu Mkali wa RAGGA kutoka FINLAND MAD ICE,SUMA MNAZARETI,JHIKOMAN,SULTAN KING ambay
e atamtambulisha RASMI MKE WAKE kwenye JUKWAA wakisindikizwa na ALLONEYM,SMILE na MAN TUZZO kwa KIINGILIO CHA Tshs 4,000/= Show hii imedhaminiwa na ISLAND PROMOTION TANZANIA Karibuni

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates