Wapenzi wengi hasa wale ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako.
Katika hali ya kawaida kufanya mapenzi kuna faida nying
i, lakini linapokuja suala la kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoendekeza sana ngono.
Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili au tatu.
Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula cha
usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya kufanya
hivyo kwa sababu amelipa mahari.
Hilo linaweza kuwa jambo jema
kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya
watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la
watu wapenda ngono.
Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine
mengi ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza
kukabiliana nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa
kuendekeza miili kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana
hata kwenye nguzo ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka
kufurahika.
KUPOTEZA HAMU YA TENDO
Watu wenye pupa za kufanya
mapenzi hupoteza haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na
sababu za kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo
la ndoa mara kwa mara.
Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu.
Aidha kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana
na kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine
sehemu moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza
kumfanya mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza
hamu naye na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
Photo: ATHARI ZA KUFANYA MAPENZI MARA KWA MARA Wapenzi wengi hasa wale
ambao uhusiano wao ni mchanga hupenda sana kufanya mapenzi kila
wanapokutana au wanapohisi wamehemkwa na miili yako. Katika hali ya
kawaida kufanya mapenzi kuna faida nyingi, lakini linapokuja suala la
kuzidi kiasi tunapata matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu
wanaoendekeza sana ngono. Kuna watu ambao hawezi kulala bila kufanya
mapenzi na huku wengine wakikosa uwezo wa kuvumilia hata kwa siku mbili
au tatu. Mtu anaweza kuwa na mke na kujikuta kila siku anatumia ‘chakula
cha usiku’ kwa sababu tu hakuna wa kumkataza na kwamba ana haki ya
kufanya hivyo kwa sababu amelipa mahari. Hilo linaweza kuwa jambo jema
kwa upande mwingine, lakini uchunguzi unaonyesha kuwa watu wengi kati ya
watu wanaolalamika kupoteza hisia za kimapenzi hutoka katika kundi la
watu wapenda ngono. Pamoja na tatizo hilo, yapo madhara mengine mengi
ambayo mtu asiyekuwa na kiasi katika tendo la ndoa anaweza kukabiliana
nayo, hivyo ni vema tukajifunza ili tusiwe watu wa kuendekeza miili
kiasi cha kulazimika kufanya mapenzi kila tunapokutana hata kwenye nguzo
ya umeme na chini ya miti kwa vile tu miili imetaka kufurahika.
KUPOTEZA HAMU YA TENDO Watu wenye pupa za kufanya mapenzi hupoteza
haraka hisia za kimapenzi kwa wapenzi wao kutokana na sababu za
kisaikolojia zinazoweza kujitokeza wakati wa ufanyaji wa tendo la ndoa
mara kwa mara. Sababu hizo zinaweza kuwa ni pamoja na zile za kumzoea
mwenza kiasi cha kukosa msisimko hata anapomuona akiwa mtupu. Aidha
kukinai haraka staili za kimapenzi kunatajwa kujitokeza kutokana na
kukutana mara kwa mara kwa aina zile zile za mapenzi na pengine sehemu
moja, kitanda kimoja na chumba kile kile, jambo ambalo linaweza kumfanya
mhusika asione jipya kutoka kwa mwenza wake na hivyo kupoteza hamu naye
na kuhisi kama hawezi tena kushiriki tendo la ndoa kikamilifu.
Post a Comment