Big boss wa Maybach Music Group Rick Ross ameachia video ya
wimbo wake 'Pirates', uliopo kwenye album yake ambayo ilikuwa nominated kwenye
tuzo za Grammy "God Forgives, I Dont".
Rick Ross mwenyewe ameshiriki katika kuiongoza video hiyo
kama co-director akishirikiana na muongozaji maarufu wa video Dre Film ambae ni
mshika kamera wa Maybach Music Group. Video imefanyika Miami, Florida ikiwa na
story nzuri.
Iangalie hapa:
Post a Comment