Matayarisho yakianza....!! kwa Ney |
Lights On.....Camera On Set....!! |
Mara Bangi ,Mara Matusi sa ndo Muziki gani....? |
Usafii kama kawaida .....!! |
DJ Ommy Crayz in town akiwa na
msanii nguli kutoka South Africa Qboy Mnyama....!! |
Dada Halima kimwana alikuwepo asubuhi
asubuhi kuakikisha mambo yakienda saawia...along side with Twins Fashion...!! |
Diamond Platnumz with Flowers....! |
From Left to Right.....Qboy Mnyama...Esma
Khan,Faridah,Mariam and the President Himself Diamond...!! |
Bebez wakali waliofurika kushow Love kwenye video ya Muziki Gani...! |
President wa wasafi Diamond Platnumz akiwa na flowers...! |
Ney na warembo |
Ilikuwa Location upande wa Casino..... |
Baada ya kumaliza shooting ya pale casino,safari
ilianza kuelekea sinza kumaliza shooting kwenye Graphic iliyochorwa na Mkong'oto Jazz Band....!! |
WASAAAFIIIIII......!! |
Maandalizi yakaanzia hapa...baada ya kuwasili sinza....!! |
MKONG'OTO JAZZ BAND....!! |
Jamaa huyu ndo aliechora graphics zote kutoka mkong'oto
jazz band na kuchora michoro tofauti ....!! |
on set...location #2 sinza....... |
DJ OMMY CRAYZZ...! |
Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata.... |
Post a Comment