Mke
wa mkali wa hiphop Jay z , Mrs Carter aka Beyonce alikuwa akifanya yake
kwenye jukwa la moja ya show za Mrs Carter World Tour na Nywele zake
zilishikwa na feni ya upepo iliyokuwa ikipuliza jukwa hilo. Pop star
huyo alikuwa akifanya performance ya wimbo wake wa Hello na ndipo Mlinzi
na wasaidizi wake wakasogea karibu kutoa nywele hizo kutoka kwenye
feni.
Beyonce Aliandika Hivi Kwenye Instagram
Post a Comment