TANGAZO TOKA AZAM FC

Majaribio kwa Azam Academy sasa yatafanyika Agosti 6 kuanzia saa moja asubuhi. Wazazi na walezi tunashauriwa kuwagharamia watoto wetu nauli, chakula, malazi na vifaa vya michezo

Majaribio ni kwa siku moja tuu na tunahitaji wachezaji walio chini ya umri wa miaka 15.... kama mchezaji ana miaka chini 17 na ana kipaji cha hali ya juu sana pia atapewa kipaumbele

Baada ya mchakato na kama kijana atafuzu kujiunga na Azam Academy Mzazi/Mlezi atajaza fomu maalum kwa niaba ya kijana

Wachezaji mzingatie kuja na vielelezo vya umri wenu, (Cheti cha kumaliza elimu ya Msingi na Cheti cha kuzaliwa) kwa pamoja

Imetolewa na uongozi wa Azam Academy

Share this:

Post a Comment

 
Copyright © CHIWILEINC. Designed by OddThemes | Distributed By Gooyaabi Templates