aNAITWA ISSA SWALEH ABDULLAH ABUUBAKAR Amezaliwa 4/9/1988/ Muembe ladu Hospitol : Elimu ya msingi shule ya Kilima hewa na secondry
kwamtipura kipindi chote cha masomo nilikua nikiishi Mikunguni : baba
yangu mzazi ali fariki nikiwa tumboni hukotanga nakuzikwa uko kwakua uko
ndiko aliko zaliwa
Kwa
sasa nime ajiriwa na kampuni ya biashara katika kiwanja cha ndege
zanzibar nimeowa na nina watoto wawili wakiume mkubwa anaitwa ISMAIL na
mwengine anaitwa MALIQ . Mama yangu mzazi anaitwa SOPHIA
Post a Comment