Home » NEWS » LEO KWENYE ZANZIBAR STAR PROFILE LEO TUNAMLETA NASSIR WA VANILLA
LEO KWENYE ZANZIBAR STAR PROFILE LEO TUNAMLETA NASSIR WA VANILLA
Amezaliwa tarehe 9 / 9/1992 mnazi mmoja hospitali jina lake la kuzaliwa othman hassan mohamedAnafahamika kama NASSIR WA VANILLA toka kundi la VANILLA CLASSIC akiwa na hit kali kama hanitaki, Chaguo langu, pamoja na kazi mpya ambayo ameachia ivi karibuni akiwa na Abdu kiba Nisikize
Sikiliza kazi yake mpya hii hapa
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
Post a Comment